What is known. 9 = 3x3 9 = 9x1 9 = sqrt 81 e.t.c what is new: The fractional law of 9 states: any proper fraction of nine, is a recurring decimal of its numerator e.g. 1/9 = 0.111... 2/9 = 0.222...
Maajabu ya namba 9 (kiswahili). Namba yeyote ambayo ni sehemu rahisi ya tisa (yaani 1 hadi 8 ikigawanywa kwa tisa) itakuwa ni sifuri nukta marudio ya namba husika katika desmali. Mfano: 5/9 = 0.555... au kifupi 0.5'
At any time I won't claim of being perfect, thus your comments are very important to me, so please let me hear from you. (siwezi kudai wakati wowote kuwa mkamilifu kiasi cha kutopokea maoni, hivyo maoni yako msomaji ni muhimu kwa uboreshaji, hivyo tushirikiane kwa uhuru.)
Maajabu ya namba 9 (kiswahili).
ReplyDeleteNamba yeyote ambayo ni sehemu rahisi ya tisa (yaani 1 hadi 8 ikigawanywa kwa tisa) itakuwa ni sifuri nukta marudio ya namba husika katika desmali.
Mfano: 5/9 = 0.555... au kifupi 0.5'

ReplyDelete